beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,346
- 2,353
- Sep 25, 2023
- #3
Charles kilian said:
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature
2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay
3. Latifa – MB Dogg
4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee
5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto
6. Cinderella – Alikiba
7. Mzee wa Busara – Juma Nature
8. Hakunaga – Sumalee
9. Mr Blue – Mapozi
10. Mbagala – Diamond
11. Machozi – Lady Jaydee
12. Mikasi – Ngwair ft Mkoloni na Rah P
13. Hii Leo – Crazy GK ft Mwana FA na AY
14. Jina Langu – Profesa Jay
15. Hili game – Juma Nature
16. Mabinti Damu Damu – Mwana FA
17. Mwanza Mwanza – Fid Q
18. Mtoto wa geti kali – Inspekta Haroun
19. Nikupe – Man Dojo na Domokaya
20. Nikusaidieje – Profesa Jay21. Habari ndio hiyo – Mwana FA na AY
22. Zeze – TID ft Jay Mo
23. Chemsha Bongo – Hard Blastaz
23. Kama unataka demu – Jay Mo
24. Mtazamo – Afande Sele ft Profesa Jay na Solothang
25. Sitaki Demu – Juma Nature
26. Mkono Mmoja – Chege na Temba
27. Kamanda – Daz Nundaz
28. Mi mmasai – Mr Ebbo
29. Bullet – Quick Rocka
30. Machoni kama watu – AY ft Lady Jaydee
31. Nampenda – Mike T ft Juma Nature
32. Mathematics – Roma
33. Kidato Kimoja – JI
34. Wife – Daz Baba ft Ngwair
35. Mchizi Wangu – Nako 2 Nako
36. Salome – Dully Sykes
37. Usiusemee Moyo – Lady Jaydee
38. August 13 – Fid Q ft Juma Nature
39. Hakuna Kulala – Juma Nature
40. Jay Mo – Mvua na Jua41. Namba 8 – Daz Baba ft Fid Q
42. Siwema – Lady Jaydee
43. Nini Chanzo – X-Plastaz
44. Alikufa kwa Ngoma – Mwana FA ft Jaydee
45. Yule – AY
46. Baby Girl – Mad Ice
48. Balozi – Kwenye Chart
49. Sugu – Dar Dsm
50. Nalia kwa furaha – Klynn ft Bushoke
51. Kamwambie – Diamond
52. Ommy Dimpoz – Baadaye
53. Ice cream – Nurah ft Sumalee
54. Chungwa – Sumalee
55. Tanga Kunani? – Wagosi wa Kaya
56. Dunia Njia – Bushoke
57. Ghetto Langu – Ngwair
58. Zamani – Q-Chief ft Lady Jaydee
59. Cpwaa – Problem
60. Niwe Nawe Milele – Ray C61. Buzi – Mr Paul
62. Pipipi – Marlow
63. Hayakuhusu – Rah P
64. Siamini – TID
65. Binti Kiziwi – Z-Anto
66. Sista Sista – Crazy GK
67. Tabasamu – Mr Blue ft Steve RnB
68. Dar Mpaka Moro – Wanaume TMK
69. Na wewe – 2Berry
70. CNN – Ngwair ft Fid Q
71. Kibanda cha Simu – Soggy Doggy
72. Mawazo – Diamond
73. Dar es Salaam Standup – Chidi Benz
74. Mr Politician – Nakaaya Sumari
75. Si Uniliambia – Mb Dogg
76. Huyu na Yule – Fid Q
77. Hoi – Wakilisha
78. Single Boy – Ali Kiba ft Lady Jaydee
79. Nyota Yangu – TID
80. Wasiwasi – Banana Zorro81. Nalivua Pendo – Mwasiti
82. Stimu Zimelipiwa – Joh Makini
83. She got a gwan – Ngwair
84. Unanitega – Noorah ft Mwana FA
85. Bush Party – Solid Grand Family
86. Pressure – Hafsa Kazinja ft Banana
87. Gado – Zay B Ft Juma Nature
88. Vailet – Matonya
89. Bado nipo nipo – Mwana FA
90. Twenzetu – Chege
91. East Coast Team – Ama zao Ama zangu
92. Niite Basi – Joslin
93. Sumu ya Penzi – Belle 9
94. Hi – Dully Sykes
95. Sifai – Q-Jay
96. Ametoroshwa – Biz Man
97. Anakuja – Sister P
98. Oyoyo – Bob Junior
99. Riz One – Izzo B
100. Umaskini Wangu – Q-Chief
by bongo 5 media
Sijajua wametumia vigezo vipi ila kwa maoni yangu, Bullet, Mathematics, Mkono mmoja, Kidato kimoja, Yule, Baadaye, Problem, Binti kiziwi, Huyu na yule, Bado nipo nipo kwanza, Ama zao ama zangu, Sifai, Ametoroshwa, Oyoyo na Riz One hazistahili kuwemo kwenye hiyo listi.
Badala yake nyimbo zifuatazo zinastahili kuwemo kwenye hiyo listi;
-Jay Mo - Bishoo, Maisha ya Boarding
-Nature - Inaniuma Sana
-Fid Q - Chagua Moja,
-Afande - Sele - Mayowe,
-Ben Pol - Nikikupata
-Christian Bella - Nashindwa
-D Knob - Elimu Mitaani
-Ferooz - Jirushe
-TID - Girlfriend
-Hardmad - Tamala
-Imam Abbas - Mitaa ya Kati
-K Sal - Mkiwa
-GWM - Kamua
-Madee - Kazi Yake Mola
-Ngwair - Sikiliza
-Mad Ice Feat Jaydee - Nishike Mkono
-Nandy - One Day Yes
-Ruby - Na Yule
-Diamond - Number One
-Jaffarai - Niko Busy
-Solo Thang - Mambo ya Pwani
-Sugu - Mambo ya Fedha
-Klynn Feat Noorah - Kama Unataka
- Mandojo na Domokaya - Wanok Nok
-Gangwe Mobb - Nje Ndani
-N2N - Hawatuwezi
-Lady Jay Dee - Wanaume Kama Mabinti
-Wateule - Watu Kibao
-Squeezer Feat Nature - Naja
-Dully Sykes - Handsome
-Solo Thang Feat Jay Mo & Soggy - Simu Yangu
-Lady Jaydee Feat TID - Understanding
- MwanaFA Feat Dully - Wanapendana